Aunt kikuu ebhu punguza stress...Unayafanyia jf?
Ebhu kuwa na adabuWewe si ndio okota okota🤣🤣🤣
Muweke awe mume mdogo basi.
Kwani wanajua sisi ni makapuku wa NJURUKU?🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hili ni jina tu mkuu
Shunie akee, mtoto kanizimia mimi ujue jalafu we unamrushia njiwa wangu kwa mtu mwingine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnaendana bwana na poker
Jibu swali, unayafanyia jf?Aunt kikuu ebhu punguza stress...
Adabu unaijua wewe kweli!!Ebhu kuwa na adabu
Kuna kaukweli ndani yake.Ila jina limekaa kiwakiii!! Alieliandika sijui aliwaza nini🙆🙆🙆🙆
🤣🤣🤣🤣Jibu swali, unayafanyia jf?
Mume mdogo kwako au [emoji1787]Wewe si ndio okota okota[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muweke awe mume mdogo basi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] We si unampiga vita babe wangu ila vitu vyake unatakaNa vitenge vya kutosha. Lasivyo litamkuta jambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ameen AmeeenUpendo wetu udumu shunie akee..