Kama bado upo Home ni bora uendelee kukaa tu....Kwa kweli,Swahiba leo mvua imeamua nataka kutoka naona ngumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nafurahi kusikia Neno KARIBU toka kwako,Swahiba
Nilikua niende hospital kumuona mtu pale kona ya wazo ila kwa mvua hii sitokiKama bado upo Home ni bora uendelee kukaa tu....
Huku nje hakufai.
Nafurahi ukiwa unafurahi ,Swahiba..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
vita huleta hofu na kuondoa furaha.
Hahaha DuhUmeachikaa nini?
BabeeeeeMiss you too auntie yangu [emoji3059][emoji3059] mambo ni mengi sana nashindwa hata mda wa kuingia humu
Salaam mkuu 🖐