Hwa watafiti kila leo wanakuja na mambo mapya...sasa mbona sie wengine tukishagegeda usingizi wake ni wa masaa 10 na tukitoka hapo mwilinunakuwa mpya kabisa na wenye afya
Sio mara ya kwanza kusikia hili, hata watoto wadogo connection yao na nature ni kubwa kwa vile mara nyingi wanatembea peku.
Shunie