Hee....!!DUNDERHEAD means foolish, stupid + idiot
yaani mpumbavu nini na nini sijui...(kichwa maji)
Ngedere Ungabu aliwahi kututusi ivo
Umeelewa sasa ?
...............................
Wewe ndo wakumshauri ivyo!!!! Yameanza lini kuwa mabaya kwakoBora ubaki single,mapenzi mabaya sana.
A chat tu JF inatosha hasa kwenye Makapuku forumAfanye kipi chenye kumfaa?
Labda kwa dharuraKwani na wewe uko Single youngblood
KaribuHodi hodi makapuku...... Tafadhari, nikaribisheni kapuku mwenzenu....
Sijui kama itaisha.Hii mada haiishi? 5k sasa. Kapukus mmeamua..
πππ mahaba niuee...When I close my eyes,
I see your face.
Uzuri wako I can't compare,
Mapenzi ya kweli kweli ndo unanipa wewe
Cc lizziebettie
Nini mkuuDuuuu
Asante my my naona na una cheo kabisa hahahahKaribu mamy..
Si walituona takataka ...mdharau mwibaPost nyingine zinakosa wachangiaji kwaajili yenu mmejichimbia huku mmesahau kwingine
Hahahahahaπππ mahaba niuee...
We mwenyewe uwe makini.. Kuingia hapa rahisi kutoka majaliwa. KaribuPost nyingine zinakosa wachangiaji kwaajili yenu mmejichimbia huku mmesahau kwingine
Mimi tayari occupiedKwani na wewe uko Single youngblood
Hahahaha pole sana kakaNa mimi nimekosa wa kunipenda humu JFπ³π³π³π³
Dooh!! Life haliko fair