Ndo namfuata hivoMshana umeshageuka ndege tayari
Cc: mshana jr. embu njoo kwanza umalizane na hawa kàbla mimi kubwa la maadui sijawaadhibuHuyu lazima apate anachokitaka
Huyu mzee sijui anataka nini!,yaani uzee amekula na wengine alafu anakuja kumsumbua mtoto mzuri**.punguza ukali wa ukweli mkuu
wewe ni anti yao ila mshana Jr ndo anko wao [emoji3] [emoji2]Ndoto[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Mimi ni anti uchawi na anti limbwata pia
Hahahahaaaa..... Ipi tena hiyo.Jamani usiku mwemaaaa ngoja nipalilie 7000 nyingine. .......lov u
Mkuu nikifunguka zaidi kwenye id itakosa mvuto acha ibaki fikirishi ndio maana halisi ya kitu..identity (Id)[emoji23] embu leta hiyo maana yake hapa, maana mimi nmeanza kufikiria vibaya
Dah,binadamu wabaya sana**Hahaha mkuu unakosea Jambilo sio kijambio lina maana nzito mno mkuu
Nakuunga mkono mkuu nasubiri hiyo maana ya jambilo niitofautishe na niliyonayo[emoji23] embu leta hiyo maana yake hapa, maana mimi nmeanza kufikiria vibaya
Kwani ijumaa mambo hayafai?Kesho Ijumaa
Aah wapi ona phantom hiliView attachment 338166
Hapo vipi??
Sasa ndo haiwezekani kunipiga jujuwewe ni anti yao ila mshana Jr ndo anko wao [emoji3] [emoji2]
hayo mapicha yanaashiria nini mshana jr?Usijali nshamaliza kaziView attachment 338162
Hapana leo ni maandaliziKwani ijumaa mambo hayafai?
Mkwara[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Aah wapi ona phantom hiliView attachment 338167
Ngoja kwanza nimlie timing.Fanya mapema sasa
ulitumia kizizi?Asante Mkuu.
Hawataweza,huyu mtoto ametulia sana.Shauri yako.. Wenye meno wanakula nyama we mumunya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] Cc:JambiloNakuunga mkono mkuu nasubiri hiyo maana ya jambilo niitofautishe na niliyonayo