Niambie my wife. Karibu tena humuNimekuja husband!
Nadhani icho ndo hakifaamu kabisaMkuu hata uviza utazama[emoji15] [emoji15]
Nimeacha mama.Ndo uache mambo ya kuomba msaada kwa mshana jr.
Ndo nlikuwa najipanga mkuu, aggyjay ndo kansanuaMkuu ulimtokea ama vipi!
Kweli aisee, mpe moyo na asikate tamaaNipo my dear.. Namfariji young tu hapa tusije mkosa
Nini tatizo nduguHongereni sisi bado tu.
poleni wafiwa wote jamani...!!!#GOOD NIGHT#TEAM MAKAPUKU
Nahisi kashakuelewa. Ebu soma hapo juu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] asante mkuu,alafu mhusika utazani hanioni ninavyoteseka.
Nawe pia poleni#GOOD NIGHT#TEAM MAKAPUKU
Safi, mbele za watu usipende kutumia neno yangu, tumia yetu, wetu, zetu nkIbaki hivihivi ni mali yetu makapuku wote hatuhitaji kuboreshwa.....tukichanganywa na wakongwe na mafaza WA Jf sana sana tutakuwa TUNATUKANANA TU
......................
Asante hubby! Baridi tuNiambie my wife. Karibu tena humu
Hahaha,mambo hayo nawaachia nyie na akina jonaxMkuu hata uviza utazama[emoji15] [emoji15]
Good girlNdo uache mambo ya kuomba msaada kwa mshana jr.
Sio nahrene ni miss kapukuNadhani ni vema mwenye kuniweka kwenye Ile list pale juu aniweke tuu maana c lazma kupm mtu. Niwekeni pale nionekana nipewe likes. Nalala SA hii nshamchukua Nahrene nikiamka nikute likes 1000+
wachovu wa jiji wale hawana lolote ..Kimenuka mapema hivi
Nahrene nakuita..Ndo uache mambo ya kuomba msaada kwa mshana jr.
Nipo.... Sema dah mama katoto anabana...kuja kapuku forumUpo kijana
Sogea karibu yangu nikupe kumbatio la nguvu my wifeAsante hubby! Baridi tu