Halafu ye sio kapuku ni mkongwe....We kukitokea mfarakano hushindwi kwenda kwa mshana
Kweli aisee ulikuwaga wapi mkuusijawahi pata like ngoja nijaribu na huku kwa makupuku wezangu
Kumbeee.......Halafu ye sio kapuku ni mkongwe....
Wewe chukua tu.sijawahi pata like ngoja nijaribu na huku kwa makupuku wezangu
RevolaNi aina gani ya sabuni!****
Hii inamaanisha kwa makapuku kuna njaa ya warembo.
Usijali baby wangu, ulale salama. Mwenyezi Mungu akutangulie, ukisinzia uniote mie.gud night to my husband emmyguy na makapuku wenzangu wote!
Love u all!!
Hahaha mimi ni wangu. Na wengine pia wana waoNithibitishie.
Pole sana, sasa umefikisha like 10sijawahi pata like ngoja nijaribu na huku kwa makupuku wezangu
Kwahyo mkuu leo umeamua kulala na sabuni kitandani!![emoji15] [emoji15] [emoji15]Hatuko bafuni, tuko kitandani
Tufanye hivyo mpenzi wangu.Tuwape ndimu kama jana my love
Kwa kweli nimefurahishwa na umoja huu wa makapuku wa jfPole sana, sasa umefikisha like 10
Nakuaminia sana, hakikisha unasimika mizizi, mkongwe hawezi toka huko akaja kuchukua mtoto hapa na wewe upo au sio??Achana naye huyu alikotoka amebaka anatafutwa na polisi.
Kumbe!Revola
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Tufanye hivyo mpenzi wangu.
Upo sahihi mkuu.. Wakina bibi faiza sio ajabu wapo uku na I'd tofauti kuanza upyaJF ina upungufu wa warembo, na pia inasadikika siku hizi wanaume wa JF wame fake id za kike ...
Hahahaha......Nakuaminia sana, hakikisha unasimika mizizi, mkongwe hawezi toka huko akaja kuchukua mtoto hapa na wewe upo au sio??