Makapuku Forum

JF ina upungufu wa warembo, na pia inasadikika siku hizi wanaume wa JF wame fake id za kike ...
Inaweza kua kweli asee,,.. especially hapa makapuku forum hakuna ratio kabisa, wanafaidi wachache tu akina Th Name, youngblood , sumbai, jonax, emmyguy , ibra87 si wengine tunakula kwa macho tu bob... Hata rais mwenyewe(Bitoz) nahisi kaambulia patupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…