Poa mkuu, laters.Naona mshana yuko anga za mbali, hata rada za JF haziwezi kumwulika alipo ...
tukutane Tena baadae wapendwa.
kiwelu
See ya!Naona mshana yuko anga za mbali, hata rada za JF haziwezi kumwulika alipo ...
tukutane Tena baadae wapendwa.
kiwelu
Only UsJimena? Anyone here??
Home alone sio? Nlijua ushaniachia mwenge niukimbize mwenyeweOnly Us
Hapana bado nipo nipo sana, naanzaje kulala mapema yote hii???Home alone sio? Nlijua ushaniachia mwenge niukimbize mwenyewe
Baby wangu yupo hapa next to meHivi baby wako ni nan vile? Mbana anawah kulala ivo anakuacha peke ako?
Baby wako angejua kuna makapuku wanatoana roho huku kukufukuzia sijui ingekuaje?Baby wangu yupo hapa next to me
njoo muukimbize sasa ..Home alone sio? Nlijua ushaniachia mwenge niukimbize mwenyewe