MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Duh.., haya bana mana nlikua nawaza kwa sauti hapa labda unatembelea nyumba za watu sa hii
Kwahesabu gani?? Now ni 7874bado post ka 90
Hivi huko kwenu hawapigi roba?Haaahaaaa,
Hapana mazee mida nlikuwa rodi tu.
Akili kubwaz ya kuzaliwaHivi nini maana ya genius?
kipawa au kipaji cha kipekee anachokuwa nacho mtu na kinachomtofautisha na binadamu wa kawaida ..Hivi nini maana ya genius?
Si ulijihami vp mkuu?Mkubwa roba ziko kila sehemu.
kipawa au kipaji cha kipekee anachokuwa nacho mtu na kinachomtofautisha na binadamu wa kawaida ..
LabdaSa 10 si tutakua tushafikia lengo
Hizi akili kubwaz zinatofautiana... genius anakua exceptionalKwani wewe hujazaliwa na akili kubwaz?
Si ulijihami vp mkuu?
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi huko kwenu hawapigi roba?
Kwanin?Haahaaa,
Mzazi mimi sina kawaida ya kumugopa mwanadamu mwenzangu!
Ila we alwatani au sio??Mkubwa roba ziko kila sehemu.
bila shaka wewe ni genious > genius nililigundua hilo mapemaHaahaaa,
Mzazi mimi sina kawaida ya kumugopa mwanadamu mwenzangu!
Hizi akili kubwaz zinatofautiana... genius anakua exceptional
Sema we nae una maswali hata afandez watasubiriSi ulijihami vp mkuu?
Ila we alwatani au sio??
mkuu vitu unavyofanya huenda kwako ni vya kawaida ila kwa wengine ni mitihani ...Kila mwanadamu ana kipaji au kipawa kinachomtofautisha na binadamu mwingine.
Na binadamu wote sisi ni wa kawaida.