Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hiyo inabidi umpatie jonaxUgomvi na kutoelewana ndani ya ndoa na mahusiano vinakuwa historia
Swalama kabisa mama,hope umeamka salama salmin.Habari za asubuhi jamani
Nzur mrembo..Habari za asubuhi jamani
Safi sana. Hongera sana kwa kupata mke mchapakaziNahrene yuko poa mkuu,anaandaa breakfast
Mi mzima mpenziSwalama kabisa mama,hope umeamka salama salmin.
Mbona ulishindwa dawa ya kuondoa ugomvi kati ya
Makapuku v Wakongwe
Hawajawahi kuelewana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
....................
Salama tu. Za kwakoHabari za asubuhi jamani
Na iwe kwako piaNzur mrembo..
Ijumaa iwe njema kwako
Basi kwa heshima na taadhima tunakuomba uanze leoSijawahi kupata maombi rasmi
Nimeamka salama. Mpendwa....Mmeamkaje makapuku family???
Asubuhi njema
Tuko poa mama,uko poa?Mmeamkaje makapuku family???
Asubuhi njema
Safi tu, mzima?Salama tu. Za kwako
Asante sana mkuu,natumai shem pia atakuwa anafanya hivyo.Safi sana. Hongera sana kwa kupata mke mchapakazi
Thankyuu field njema kipenzi.Miss you more kipenz
Nimebanwa na Kaz za field...
Tutaonana jion....
Good Friday to you[emoji8]