Usipate tabu huku kila mtu na wakeKumbe kuna chamber ingine huku watu wanaitana majina yale ya faraja kabisa..Wacha nifanyE uhudhuriaji huku nione kama na mimi naweza badili jina la mtu hapa...
Hahahaha basi burudani kabisaHuu ni jua kwa sana, hadi tunapata joto na ni asubuhi.
Mie nitawachagulia jina mfanye upesi[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Second born awe wa kiume. Tumemaliza baby
Nakusikiliza wewe baby wanguTuongeze na wamwisho wa kike tena
Sio makapuru ni Makapuku.Kwanini mkaita makapuru?
Hata wewe[emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unajisikiaje baby wangu, baridi imepungua?
Hahahaha asante sanaMie nitawachagulia jina mfanye upesi[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah kauli hii inanikatisha tamaa mkuu kwa hiyo kila aliepo huku yuko na wake...Inamaana hakuna mgeni kama mimi ambaye tunaweza anzisha hata urafiki wa kutumiana salam tu?Usipate tabu huku kila mtu na wake
Tufanye hivyo honeyNakusikiliza wewe baby wangu
Karibu sana. Halafu ni pm ili nikupe usajiliHahaa hii nimeipenda asee....kwa maelezo ya makapuku basi na mm nimo.....ni mgeni hapa nina kama mwezi sasa
Usajili unanihusu mkuu
Naona mie tu ndo nimekosa wa kumatch naye[emoji5] [emoji5] [emoji125] [emoji125]Usipate tabu huku kila mtu na wake
Ika kwa sasa utakuwa single kama akina sizzya007 na ibra87 bila kumsahau peterchoka.Kumbe kuna chamber ingine huku watu wanaitana majina yale ya faraja kabisa..Wacha nifanyE uhudhuriaji huku nione kama na mimi naweza badili jina la mtu hapa...
Nipo kwa ajili yako baby.Tufanye hivyo honey
Usajili[emoji15] [emoji15] [emoji15]Karibu sana. Halafu ni pm ili nikupe usajili
Labda tufanye uporaji mi mwenyewe na kujipendekeza kote nimetoka draw mpaka nataka nitumie ile methodology nyingineDah kauli hii inanikatisha tamaa mkuu kwa hiyo kila aliepo huku yuko na wake...Inamaana hakuna mgeni kama mimi ambaye tunaweza anzisha hata urafiki wa kutumiana salam tu?
Nimeshatendwa mkuu mimi ni single and available sasaHii tu kutoka kwako inaonyesha ukarimu wa hali ya juu kutoka kwenye chamber hii..Asante sana mkuu..Nilikuwa sijajua kuna hii chamber na yawezekana nime miss mengi...Wacha nipitie huku juu nione kama kuna mtu alimwita cute b yale majina yenye faraja..Then ntarudi hapa hapa..
Karibu sana. Kauli isikutishe sana pia unaweza kwenda love connect ukajichaguliaDah kauli hii inanikatisha tamaa mkuu kwa hiyo kila aliepo huku yuko na wake...Inamaana hakuna mgeni kama mimi ambaye tunaweza anzisha hata urafiki wa kutumiana salam tu?
Mshana we si unawaloga tu wadada wazuri wazuri Kama cute b[emoji40] [emoji125] [emoji125]Labda tufanye uporaji mi mwenyewe na kujipendekeza kote nimetoka draw mpaka nataka nitumie ile methodology nyingine
Sawa kiongoziKaribu sana. Halafu ni pm ili nikupe usajili
Anatania na shemeji yake bhana, utani lazima.