Makapuku 4 Change
Huyu jamaa anadharau sana.Et.....?
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapana JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukuru kwako sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Sisi ndio tunaowapaisha....tatizo tulikuwa hatuna umoja tuNimejaribu kufanya survey naona leo thread nyingi haziendi kabisa makapuku tuko busy kutafuta haki zetu.
Waendelee tu kutupa support hata kimya kimya inatosha.Mods kapuku wapo, wanaendelea kutupa support.
Hii team ni tishio kwa sasa hapa jf.na ndio maana moto tumeuanza hapa Chit chat tukianza kampeni kila jukwaa wenyewe watatuona na watatukimbia. Huko waliko wanahitaji wangekuwa wao ndio sisi
Binafsi siingii kwenye thread nyingine yeyote zaidi ya hii. Huku nina uhakika wa likes. Kule nabahatisha, sasa kwanini nisije huku. Mie nataka hao wakongwe wajifunze roho ya kutoa kama sie. Mtu likes hununui, hufungiwi account kwa kutoa likes, kwanini usitoe?yani ukifungua Jf na kuingia kwenye headline unakutana na "Makapuku Forum" kila wakat iko first kwa sababu inachangiwa kila wakati.
utafikiri imekuwa BREAK NEWS vileeee, au taarifa ya msiba.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
basi hao wanaojiona wakongwe Wamevimba kwa hasira[emoji16] mpaka wanatakà kupasuka vileee
Unawabamba ile mbaya.Yaani huu uzi umeturn to be a tsunami, unblvble asee😱😱
Nawaona.Mie salama salmini furaha furahani😀
Binafsi siingii kwenye thread nyingine yeyote zaidi ya hii. Huku nina uhakika wa likes. Kule nabahatisha, sasa kwanini nisije huku. Mie nataka hao wakongwe wajifunze roho ya kutoa kama sie. Mtu likes hununui, hufungiwi account kwa kutoa likes, kwanini usitoe?
Salama kabisa mkuu, nipe ripotiMkuu, salama lakini!?