damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Pita njia kuu sio vichochoroni.Nimekosea njia . ILA mnaudhi Sana asa mnapoleta uandishi wa kifacebook humu. Mfano S=X.
Umenena shemejiIli wote tuwe sawa, jf ni ya wamoja.
You mean with me😀It begin with you..
With us[emoji3] [emoji3]You mean with me😀
Leo pages 1000 lazima zifike.tena kwa kuwa leo ni jumapili na wengi baada ya kutoka ibada wako free
basi tunategemea hii thread ifike mpaka page ya 1000 kwa siku ya leo
Sana madame b hatuna ugonvi na mtu ila dharau hatutaki madame b jf iwe ya wote na turekebishane na tukosoane ili tulisongeshe gurudumu letu la jfAsante.
Naona mna-enjoy
Tangazo tangazo
Wakongwe mnaopita humu msisahau kulike post za makapuku, just like for no reason, kwa sababu na wao wanalike post zenu zilizomo humu for no reason
Huu ni uzi wa wanaharakati MAKAPUKU.Huu uzi una nn mbona unaenda fasta hivi?