Kabrowae/Google Jf zen log in kisha nenda profile lako/LA mtu ufanye mautunduJamani naomba mnielekeze jinsi ya kufolow
Kama utanifollow let me know ili nikufollow backJamani naomba mnielekeze jinsi ya kufolow
Kwa hizo views hadi wakongwe watakua wamepita humu kimyakimya.... I can see 'Makapuku on fleek'Views 15926
Replies 1962
Nenda kwenye browser, kule ndo maelekezo mazuri kabisa. Nenda pale kwenye alert pale watakuonesha kila kituJamani naomba mnielekeze jinsi ya kufolow
Sawa mpenz nitakujulishaKama utanifollow let me know ili nikufollow back
Karibu sana wifiOkay! Asante
Mambo mengi mpenzi. 😀
Sio kweli, ni typing errorHeee!
Asante my wiiKaribu sana wifi
Sio kweli, ni typing error
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Okay hubby nimekuelewaNenda kwenye browser, kule ndo maelekezo mazuri kabisa. Nenda pale kwenye alert pale watakuonesha kila kitu
Fanya hivyo ukishindwa nipo hapa for you Baby.
Makapuku chat roomKwa hizo views hadi wakongwe watakua wamepita humu kimyakimya.... I can see 'Makapuku on fleek'
2000Makapuku chat room
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama maji vile, yani usipayaoga lazima uyanywe[emoji23] [emoji23]Kwa hizo views hadi wakongwe watakua wamepita humu kimyakimya.... I can see 'Makapuku on fleek'
Sure... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama maji vile, yani usipayaoga lazima uyanywe[emoji23] [emoji23]
Ibra masihara mengi usikute hakumaanisha
sasa siku ikitokea tumekuwa wakwasi itakuaje? tutabadili jina au tumeridhika na huu ukapuku
Asante kwa majibu mazuri, natumai atakuwa amekuelewa.Ukapuku ndio haswaaa utambulisho wetu na sie tumelipenda hilo jina wala hatuna shaka nalo
Hahahaaa...... Ibra bhana anamizinguo huyo.Ibra masihara mengi usikute hakumaanisha
Karibu sana Makapuku chat roomThread hatimae nimeipata...mwendo mdundo..