Makapuku haina impact, tokeni huko mje kupanuliwa mawazo!

Wale watoto wadogo wenye access na Internet ndio wale makapuku forum
 
huyo Mwenye Uzi amenikumbusha ile kauli kuwa
mtu anapofilisika hajui kama anafilisika.ila watu wanaomzunguka hujua.
sasa mleta mada kashtuka tu billboard imehamia makapuku.
makapuku beib( kwa sauti ya Nyaningabu)
 
Kuku akitaka kutaga huanza kwa kelele na kusugua mbunyi chini
 
Mtoto wa kiume kuanza kufuatlia Mambo yasiyokuhusu huo ni ushog**.........Acha kuimba taarabu na ufanye yanayokuhusu............naona we umeshapanuliwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…