Makapuni ya simu yanatuibia?

Makapuni ya simu yanatuibia?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kuna siku niliwahi kusikia mamlaka ya mawasiliamo TCRA ikisema kuwa gharama za muingiliano kati ya kampuni na kampuni itashuka hadi kufikia Tsh. 10 kwa dk 1 muda muda fulani ukifika. Lakini hadi leo liko kampuni moja ya simu za mkononi inatangaza gharama ya sh. 1 kwa sekunde kwenda mitandao yote, hii ni sawa na Tsh. 60 kwa dakika moja, na wala sisikii wala kuona TCRA ikisema chochote kwenye hilo.

Tunaibiwa au muda uliotajwa wa gharama kushuka bado haujafika?
 
Kama ni maongezi yanayoingiza fedha sio mbaya ila kama ni simu za blah blah ni hasara
TCRA ni chombo cha umma kinachoendeshwa na kodi za wananchi chenye kazi ya kuwatumikia watu. Hivyo chombo cha umma kisichotimiza yale kilichosema kitatimiza kinapoteza heshima yake.

Hayo uliyosema wewe ni nonsense
 
TCRA ni chombo cha umma kinachoendeshwa na kodi za wananchi chenye kazi ya kuwatumikia watu. Hivyo chombo cha umma kisichotimiza yale kilichosema kitatimiza kinapoteza heshima yake.

Hayo uliyosema wewe ni nonsense at all.
 
Back
Top Bottom