Makarasha day

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Jamaa Kenneth atakuwa na hela sio poa maana kwa kikosi hiki na Kila mwezi alipe mishahara asafirishe wachezaji agharamie chakula na malazi mara matibabu
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ŒNadhani hata hao kina gsm hawafati kwa huyu jamaa
 
Hicho kikosi kikowapi? Uandishi mwingine yaani dah
 
Nimependa walichokifanya kwa sasa kiushabiki baada ya Timu ya Wananchi itakayofuata kwangu itakuwa ni KenGold.

Japo wanasikitisha points sita kibindoni kwa kucheza mechi 15 sio siri wana mlima mrefu kutoboa kubakia ligi kuu.

Itabidi kina Chirwa wapambane sana kupata matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ