INAUZWA Makaro ya kisasa (bio digester)

INAUZWA Makaro ya kisasa (bio digester)

xhuming2019

Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
10
Reaction score
3
Karibu Tanzania Septic Solutions tukupe ushauri na kukujengea makaro ya kisasa ya choo yasiyojaa katika kipindi chote cha matumizi yake tupigie number 0672 883 447 kwa maelezo zaidi na kutembelea site yako ni bure kwa wakazi wa dar es salaam
1. Shimo halitajaa katika kipindi chote cha matumizi yake
2.Inachukua eneo dogo sana la eneo la kiwanja chako shimo linakuwa na urefu wa mita moja tu na upana wa mita moja
Karibuni sana
3.Kampuni inakupa guarantee ya miaka 5
4. Makaro haya hayana harufu wala wadudu
5.Makaro hayaHayachagui udongo
6.Tunayo ya size tofauti kulingana na idadi ya watumiaji kama, Shule,familia ,hospital,hotels nk

KARIBUNI TUPIGIE
0672 883 447
AU NJOO DM KWA MAELEZO ZAIDI

septic.jpeg
IMG-20181010-WA0021.jpeg
IMG-20181007-WA0013.jpeg
IMG-20181010-WA0015.jpeg
IMG_20181009_192734_737.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20181011_132308_281.JPG
    IMG_20181011_132308_281.JPG
    61.1 KB · Views: 30
  • IMG_20181009_192734_737.JPG
    IMG_20181009_192734_737.JPG
    25 KB · Views: 33
Hii kitu safi sana aisee yani ndo mfumo mpya achana na yale tuliyozoea yani ni safi sana kwakweli
 
Gharama zake kwa nyumba ya kawaida kama hiyo kwenye picha?
 
Very interesting! Elimu kidogo maji machafu yanaenda wapi. Na umri wake wa matumiza ni miaka mingapi??
 
Very interesting! Elimu kidogo maji machafu yanaenda wapi. Na umri wake wa matumiza ni miaka mingapi??
Samahani kwa kuchelewa kujibu nilipata msiba mkuu Jinsi mfumo huu unavyotengenezwa maji yanaenda ardhini namatumizi yako sisi tunatoka warranty ya miaka 5 lakini
Huu mfumo umetengezwa kutokujaaa kabisa boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu elezea kidogo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi mfumo huu unavyotengenezwa maji yanaenda ardhini namatumizi yako sisi tunatoka warranty ya miaka 5 lakini
Huu mfumo umetengezwa kutokujaaa kabisa boss pia naomba kwa anayehitaji maelezo ziadi ni pigie au msg au whatsapp nitampa maelezo kwa wakati saa nyingine naweza kuchelewa kujibu huku jf wakuu asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huo mfumo una sambaza na ile bio gas kwa ajili ya matumizi mbalimbali au ni kwa ajili ya kuweka kinyesi tuu?
 
Karibu Tanzania Septic Solutions tukupe ushauri na kukujengea makaro ya kisasa ya choo yasiyojaa katika kipindi chote cha matumizi yake tupigie number 0672 883 447 kwa maelezo zaidi na kutembelea site yako ni bure kwa wakazi wa dar es salaam
1. Shimo halitajaa katika kipindi chote cha matumizi yake
2.Inachukua eneo dogo sana la eneo la kiwanja chako shimo linakuwa na urefu wa mita moja tu na upana wa mita moja
Karibuni sana
3.Kampuni inakupa guarantee ya miaka 5
4. Makaro haya hayana harufu wala wadudu
5.Makaro hayaHayachagui udongo
6.Tunayo ya size tofauti kulingana na idadi ya watumiaji kama, Shule,familia ,hospital,hotels nk

KARIBUNI TUPIGIE
0672 883 447
AU NJOO DM KWA MAELEZO ZAIDI

View attachment 992714View attachment 992716View attachment 992718View attachment 992719View attachment 992726

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Kitu je ina Faa Dodoma? kuna sehemu kuna chem chemi kipindi cha mvua
 
Back
Top Bottom