Makatazo ya mambo ya fuatayo kwa afya yako

mwinyi mpemba

Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
11
Reaction score
2
1. Usinywe maji ya moto baada ya kula chakula.
2. Usinywe maji ya baridi.
3. Usile vitunguu maji na kitunguu thaum kwa pamoja.
4. Usile kitu kikali halafu hapo hapo ukanywa maziwa ni hatari.
5. Usile mayai na maziwa kwa pamoja ni hatari sana.
6. Usile samaki na mayai inaweza sababisha madhara ya ukoma ugonjwa wa kufura viungo.
7. Usile baadae ukaoga hii ni hatari inaweza kukuletea tumbo la.mshipa bora ni uoge ndio ule.
8. Usifanye hijama (kuundama) ukiwa na mkojo inasababisha maradhi ya kibofu cha mkojo.
 
Umetoa Katazo, lakini hujatoa ufafanuzi wa kitu gani kinatokea ukitenda hilo Katazo.

Mfano. Usifanye uzinzi kwa sababu unaweza kupata magonjwa kama gono, kaswende, virusi vya HIV na mengineyo.
 
Inaweza kukusababishia madhara katika mwili hata kama sio sasa ila baadae utakujaona.
 
Maneno tu hata kwenye khanga yapo. Toa ufafanuzi jinsi hivyo vitu vinavyo react baada ya kula
 
Dr wambieni pia hizi pozi za kwwnye magari wahache kwasababu magari yanatikisika sana!!!!
 

Hold on mkuu!!, hiyo namba 3 hiyo, ina maana nisile Pilau??

Kama vina madhara tofauti na kupunguza nguvu za kiume, am sorry siwezi kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…