mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Pigo kwa kanisa, makatibu wa tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba,ambao wote ni waislam wamechakachua maoni ya wakristo ambao kwa ujumula wao wanapinga katiba mpya kuitambua mahakama ya kadhi,na kuonyesha kwamba mikoa yote inahitaji mahakama ya kadhi isipokuwa mikoa miwili tu ambayo ni mwanza na mbeya,wakristo na watu wote wenye mapenzi mema tujipange kwenye kura ya maoni kuikataa kwa nguvu zote rasm ya katiba mpya.