Pigo kwa kanisa, makatibu wa tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba,ambao wote ni waislam wamechakachua maoni ya wakristo ambao kwa ujumula wao wanapinga katiba mpya kuitambua mahakama ya kadhi,na kuonyesha kwamba mikoa yote inahitaji mahakama ya kadhi isipokuwa mikoa miwili tu ambayo ni mwanza na mbeya,wakristo na watu wote wenye mapenzi mema tujipange kwenye kura ya maoni kuikataa kwa nguvu zote rasm ya katiba mpya.
Kuna watu wana hamu sana na chuki, fitina na ugomvi kaitka jamii ya watanzania. Kama JK ndo kapanga mkakati huu basi naye hatasalimika maana hapatatosha. Hivi lakini hawa watu wanatafuta nini hasa. Baada ya kutukana wakristo kiasi hiki kwenye Annur, Redio "amani', kwenye mihadhara, kuchoma makanisa, kupiga risasi watu. Vyote havitoshi sasa wantaka roho za wakristo. Mungu atajitetea mwenyewe. Mimi binafsi nawaselea kila itwapo leo ili kwa tabia hizo waone ukuu wa Mungu Yehova, na hivo kutoa salama kwa alah kwamba si chochote.
Wapo waliotuma sms, e mail na kupinga simu kwa majina ya Kikirsto kuafiki mahakama ya Kadhi, ili kuonyesha hata dini nyingine zimeafiki. Source jirani yangu. Tume iwe makini.
jk atasema watachakachuaje wakati mwenyekiti ni mkristo? mwenyekiti pale ni figure head hana lolote kazi wanafanya makatibu ambao jk ameweka islamist wote.
tutasikia mengi kwenye mchakato wa kukusanya maoni ya katiba mpya sitashangaa nikisikia mtu anasema wapiga kengele za makanisani na azana za misikitini walipwe na serikali