KERO Makato mapya ya shs 1,000/= kwa wakala wa CRBB Bank kuhamishiana floats

KERO Makato mapya ya shs 1,000/= kwa wakala wa CRBB Bank kuhamishiana floats

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,020
Reaction score
3,309
Salama ndugu zangu napenda nitoe duku duku langu kwa sisi mawakala wa CRDB.

Kuna utaratibu mpya CRDB Bank wameunzisha kwamba huwezi kumtumia wakala mwezako floats kwa free charge. Nipende kuwaambia hii ita didimiza biashara ya uwakala wa CRDB.

Napenda niwape maoni yangu ili muweze kuboresha.

1.Ongozeni idadi ya mawakala wakuu iwe kubwa zaidi kwa maana wawe weng.

2.Ingieni ubia na Tigo ,selcom au Airtel tuweze kubadilisha floats
 
Back
Top Bottom