BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 365
- 851
Anzisha mfumo wako ulio bora tuufuate.Watakuja hapa kutangaza utendaji wa yule mama ,ni hovyo kabisa ameruhusu wizi ..Mimi naweza kuhamisha 2K ila baadaye kunakuta 1k haipo.
Adolf Hitler aliwachukia wayahudi kwa kuanzisha huu mfumo wa banking na pesa ,unaleta umaskini na mfumuko wa bei.
Halafu mwisho wa mwaka wanavyojitapa kutengeneza faida kubwa kwenye ma-balance sheets yao sasa. Wizi mtupu!Mabenki yote ni mapango ya wezi. Hakuna unafuu kwenye benki yoyote ile nchini. Ni wizi tu halafu mwishoni mwa mwaka wanajisifia kuvuna faida ya mabilioni ya shilingi kutoka kwa wananchi masikini na wale wenye kipato kidogo.
Waache utapeli wapiga dili ,mpaka mnalazimisha kila mtu alipwe kwa bank .Anzisha mfumo wako ulio bora tuufuate.
Kwa sasa ndio mfumo unaotumika duniani kuanzia Marekani hadi Uchina na Japan; Australia hadi Greenland ni huo huo.Waache utapeli wapiga dili ,mpaka mnalazimisha kila mtu alipwe kwa bank .
Sasa hauoni kama kuna madhaifu ?Kwa sasa ndio mfumo unaotumika duniani kuanzia Marekani hadi Uchina na Japan; Australia hadi Greenland ni huo huo.
Nakuambia kweli ,mwezi uliopita walikwapua 10k sijajua imeenda wapi.Kwa sasa ndio mfumo unaotumika duniani kuanzia Marekani hadi Uchina na Japan; Australia hadi Greenland ni huo huo.
Mimi 29500 mara 2,ukiwauliza wanajiumaumaNakuambia kweli ,mwezi uliopita walikwapua 10k sijajua imeenda wapi.
Ndomaana wanapata faida sanaBank nyingi sasa hivi wanajisifia kuzidi malengo yao kila mwaka kwa kuongeza makato kuwa makubwa sana aisee bank wanapata faida kubwa sana aisee kwanza hela zenyewe wanazizungusha kwa kukopesha watu baadae wanakukata hela nyingi tu kwa kila transaction utakayofanya kazi ipo..
wewe nae una matatizo ya afya ya akili sema inawezekana hujajijua tu.Mabenki yote ni mapango ya wezi. Hakuna unafuu kwenye benki yoyote ile nchini. Ni wizi tu halafu mwishoni mwa mwaka wanajisifia kuvuna faida ya mabilioni ya shilingi kutoka kwa wananchi masikini na wale wenye kipato kidogo.