Alwatanbhai
Member
- May 1, 2013
- 74
- 78
Habari za kushinda ndugu zangu,polen kwa majukum ya kujenga taifa letu,naomba msaada kwa anaefaham makato ya NMB na CRDB kwa kila mwezi,pia naomba kufaham makato yao pia kila baada ya kutoa pesa..
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu[emoji120]
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu[emoji120]