Winners Tips Tz
Member
- Dec 6, 2017
- 29
- 19
Ahsante mkuuPrepaid ads hiyo, unachagua plan yako,siku nyingi amount inapungua kidogo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuuunaweza kuweka ad hata kama huna salio, wao wanacharge mwisho wa siku tangazo au budget ikifika kikomo... na kama kwenye akaunti huna salio, basi hutoweza kueka tangazo jengine mpaka uwalipe
Nyongeza, ahakikishe anaweka kikomo, manake anaweza kutana na deni hilo asiamini macho yakeunaweza kuweka ad hata kama huna salio, wao wanacharge mwisho wa siku tangazo au budget ikifika kikomo... na kama kwenye akaunti huna salio, basi hutoweza kueka tangazo jengine mpaka uwalipe