Makato ya huduma za kifedha yamezidi

Makato ya huduma za kifedha yamezidi

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
BOT kama mamlaka inayosimamia shughuli zote za fedha, je mlipitisha haya makato ya banki?

Je, mlikaa na wadau kujua athari za makato makubwa ya kifedha kwa kutoa pesa kwenye benki/mawakala?

Hebu pitieni upya haya makato, maana hakuna furaha kufurahia benki imepata faida kubwa kumbe wanatuumiza wananchi.

Hebu liangalieni hili.

Haiingii akilini kukatwa 10000 kwenye kutoa 1mil kwa wakala

Au kukatwa asilimia moja kwenye muamala wa benki
 
Hata kwa simu tu nilikuxa napiga hesabu ndogo, eti kutuma sh 500
Makato sh 25 sawa na 5%.
Haya ni makato makubwa sana kwa mtu wa hali ya chini.
 
Back
Top Bottom