KERO Makato ya M-PESA MasterCard ni kufuru

KERO Makato ya M-PESA MasterCard ni kufuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani (62,000). Exchange rate ya 3647.

Jana hiii rate wametoa BOT au wapi. He BOT hawaoni kuna haja ya kuregulate hizi rate zisizo eleweka?
Wadau wenye uzoefu wa bank, je MAKATO yapoje?

Soma Pia: Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

IMG_20240904_200211.jpg
 
Ni kwamba dollar 1 ni sawa na Tsh 3647 Sina hakika mana Kuna huduma nimeilipia miezi michache iliyopita
 
Hii kitu imenikuta hivi juzi, nimelipa kwa Mpesa Visa card nimekatwa zaidi ya 10% ila bidhaa ileile nilijaribu kuinunua kwa DTB Mastercard makato yalikuwa kidogo sana.
 
Apple la 1,000/= pale mwenge , mliman city apple lilelile ni 8,000/=. Chaguo lako
 
Back
Top Bottom