Makato ya NBC kiganjani

Makato ya NBC kiganjani

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Sikua nnafahamu hili, meanzo nlijua NBC wanawasogeza wateja wao na huduma kedekede ili wasisumbuke kwenda ATM
Ila leo nmefahamu kua ni huzuni

Sikuwa napenda,hitaji kutumia hizi apps za mkononi., hadi wao wenyewe waliponipigia waniunganishe!

Yaani ukinunua muda wa maongezi wa 2000 na wao wanakata 2000!!!

Leo si nikasema niangalie transaction nakuta kwenye kila transactions chini yake kuna hela inakatwa from account to wallets sikua najua maana yake

Ebana eeh wakubwa wanafyeka tu fyaaa!

Anzia leo sifanyi upuuzi hu tena!
 
Ni sawa na CRDB Wapuuzi sana unatuma buku wanakata buku 2
 
NMB wako slow sana
Sijawahi kuwa mteja wa NMB ila marafiki wenzangu wateja wa NMB wanasimulia maumivu tu.
CRDB iko njema sana. Unaingia kwenye app yao hata kama huna bandle cha msingi utumie line ya tigo au Voda. Code yao pia hata kama huna salio unaiga tu na kupata huduma.
NMB kila kitu pesa.
 
Miaka hiyo 2005 natumia atm card,ilikua ukiingiza kadi kuangalia salio basi wanalamba 300,hayo ni makato ya loging in miaka 19 baadae
 
NMB wako slow sana
Sijawahi kuwa mteja wa NMB ila marafiki wenzangu wateja wa NMB wanasimulia maumivu tu.
CRDB iko njema sana. Unaingia kwenye app yao hata kama huna bandle cha msingi utumie line ya tigo au Voda. Code yao pia hata kama huna salio unaiga tu na kupata huduma.
NMB kila kitu pesa.
NMB kununua muda wa maongezi ni bure
 
Sikua nnafahamu hili, meanzo nlijua NBC wanawasogeza wateja wao na huduma kedekede ili wasisumbuke kwenda ATM
Ila leo nmefahamu kua ni huzuni

Sikuwa napenda,hitaji kutumia hizi apps za mkononi., hadi wao wenyewe waliponipigia waniunganishe!

Yaani ukinunua muda wa maongezi wa 2000 na wao wanakata 2000!!!

Leo si nikasema niangalie transaction nakuta kwenye kila transactions chini yake kuna hela inakatwa from account to wallets sikua najua maana yake

Ebana eeh wakubwa wanafyeka tu fyaaa!

Anzia leo sifanyi upuuzi hu tena!
Mie wanachoniboa ni ubovu wa mtandao kuna last week kidogo niachwe na treni kisa mtandao wao.
 
Sikua nnafahamu hili, meanzo nlijua NBC wanawasogeza wateja wao na huduma kedekede ili wasisumbuke kwenda ATM
Ila leo nmefahamu kua ni huzuni

Sikuwa napenda,hitaji kutumia hizi apps za mkononi., hadi wao wenyewe waliponipigia waniunganishe!

Yaani ukinunua muda wa maongezi wa 2000 na wao wanakata 2000!!!

Leo si nikasema niangalie transaction nakuta kwenye kila transactions chini yake kuna hela inakatwa from account to wallets sikua najua maana yake

Ebana eeh wakubwa wanafyeka tu fyaaa!

Anzia leo sifanyi upuuzi hu tena!
Haya Nmb nimeona tangu jana..sasa kwanini wanafanya kimya kimya bila taarifa?!
 
Back
Top Bottom