NMB kununua muda wa maongezi ni bureNMB wako slow sana
Sijawahi kuwa mteja wa NMB ila marafiki wenzangu wateja wa NMB wanasimulia maumivu tu.
CRDB iko njema sana. Unaingia kwenye app yao hata kama huna bandle cha msingi utumie line ya tigo au Voda. Code yao pia hata kama huna salio unaiga tu na kupata huduma.
NMB kila kitu pesa.
Yah trueKweli?
Mie wanachoniboa ni ubovu wa mtandao kuna last week kidogo niachwe na treni kisa mtandao wao.Sikua nnafahamu hili, meanzo nlijua NBC wanawasogeza wateja wao na huduma kedekede ili wasisumbuke kwenda ATM
Ila leo nmefahamu kua ni huzuni
Sikuwa napenda,hitaji kutumia hizi apps za mkononi., hadi wao wenyewe waliponipigia waniunganishe!
Yaani ukinunua muda wa maongezi wa 2000 na wao wanakata 2000!!!
Leo si nikasema niangalie transaction nakuta kwenye kila transactions chini yake kuna hela inakatwa from account to wallets sikua najua maana yake
Ebana eeh wakubwa wanafyeka tu fyaaa!
Anzia leo sifanyi upuuzi hu tena!
Unaweza kuingia app yao bila kuwa na bando?Kweli?
Haya Nmb nimeona tangu jana..sasa kwanini wanafanya kimya kimya bila taarifa?!Sikua nnafahamu hili, meanzo nlijua NBC wanawasogeza wateja wao na huduma kedekede ili wasisumbuke kwenda ATM

Ok.Nnauliza?