Kwa kweli Nicolo Machiavelli alikuwa muona mbali sana.
"Hakuna sifa inayomuangamiza mtu haraka kama ya kuwa mwema(Mtoaji); kadri unavyoitenda ndivyo unavyopoteza uwezo wa kuitenda. Hilo linakufanya uwe fukara na mtu wa kudharaulika.
"Jambo la busara ni kuvumilia kuitwa kauzu(bahili). Sifa hiyo huleta aibu lakini haikufanyi uchukiwe.