Makazi mazuri!

ngege

Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
12
Reaction score
0
!Hello! Wana jf mi ni mwenzenu naomba mnipe mawazo mimi ni mwalim nataka nikalitumikie Taifa Morogor ila naomba mnisaidie, wilaya gani moro ni nzuri kwa maisha ya mwalimu ili kufanya na kashughuli ka kujiingizia kipato?
 
Nenda Ifakara ukalime mpunga,hutajutia maamuzi yako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…