Habar wadau,naomba kufahamu dhana hzi.
je ni kweli sisi pembezon,au tumaning'inia ubavuni mwa dunia?
kwani hapo awal nilijua tumo ndan ya dunia.
Asanteni sana
naomba nijue una elimu gani mpaka sasa? la saba? form 4? form 6? chuo kikuu?but dont tell me chuo kikuu au form 4,6 maana ukipita level hizo lazima ukutane na huo ufafanuzi kigeografia!!