Make Hapo kwanza Nchekee!?

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi?
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna.

Ahsanteni,Asbh Njema.
 
Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi??
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna....Ahsanteni,Asbh Njema.
Maake hapa kwanza ncheke..!
 
Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi??
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna....Ahsanteni,Asbh Njema.
Juzi kuna mtu kanitumia ujumbe wenye maneno hayo nikaona nimuache kwanza , nadhani wale wa tyuu na xaxa wanaweza kua na majibu sahihi
 
Neno kama hilo enzi zangu za skuli tulikuwa tukitumia sana mimi na wenzangu pale mtu anapozungumza ujinga wa wazi, tulikuwa tukisema " nicheke kwanza " huku mtu akicheka kwa dharau.

Kuna kipindi tunaulizana malengo ya mtu baadae jamaa wangu alisema tena akiwa siriaz kuwa ana ndoto za kuwa rais wa Russia sasa hapo unaachaje kuanza kucheka 😂😂 😆 kabla ya kumjibu mtu mkuryra mweusi fii anaota kuiongoza Russia baadae?
 
Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi??
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna....Ahsanteni,Asbh Njema.
Maana yake hapo kwanza nicheke, haya maneno yamesemwa kwenye simulizi ya watu wawili wakiwa kijiweni, anayesimulia ametoka kwenye tukio la kupigwa chenga manjagu.
 
Manaake hapo, subiri kwanza nicheke.

Hicho ndio kiswahili sanifu.

Watu wa pwani wanaharibu kiswahili.

#MaendeleoHayanaChama
Hakuna neno "Maanaake" kwenye Kiswahili sanifu, bali kuna maneno mawili "Maana Yake"
 
Nyie mnahangaika na hilo neno tu, haya maneno ya mitaani yana aina ya watu wanaongea, Kuna neno Broather, kuna watu hutamka bro, kuna maneno toka Arusha Chalii yangu na mengine ambayo hayaelewki.
 
Acheni wivu na yule jamaa, shingi zimewatoka kama nini, kutwa nzima mnashinda kwenye makurasa ya udaku
 
Kiungo gani kwenye mwili kazi yake NI kusikia

Kiungo gani kwenye mwili kazi yake NI kusikia?
Eh!

Manake kwanza hapo nicheke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…