#MakeGreatDiamondPlatnumzAgain

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Nadhani wadau toka sasa mpaka kesho,Mziiki wetu kuna ushindani mkubuwa sana,hii inapelekea Diamond Platnumz kuleta Changamoto katika muziiki,na mashabiki Wa timu mbalimbali mbali na kupelekea kuhitaji wanamziiki wao wafanye vizuri,ilihali hawama pesa za kutosha kunanilii vidio kwa kiwango cha ubora kama #Je Utanipenda??
Kama sio D sijui tungekuwa wapi kwenye tasnia hii ya muziiki,nadhani hakuna ingawaje wengine wanachipukia intaneshinale.Lakini Mond ndo Jibu.
MakeGreatDiamondPlatnumz
DiamondPlatnumz2016
 
K 4 REAL mfalme wa ukweee... wengine wasindikazaji tu.
 
Hongera sana king kiba, kwa kutupaisha kimataifa na NAGHARAMIA
 
Any organic compound +oxygen = Carbondioxide and water
Leo ndo nimeamini simbilisi wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…