Makengeza na mtindio aw ubongo?

Technology

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
769
Reaction score
284
Wataalamu wa afya hivi kuna uhusiano wowote wa makengeza na mtindio wa ubongo? Naskia watu wengi wenye makengeza hua wana tatizo Hilo
 
Hapana. Ila watu wengi wenye mtindio wa Ubongo huwa wanapatwa na makengeza. Na waweza kuwa mtindio wa ubongo na usiwe na makengeza.
 
Kwa Wahaya wengi hupata makengeza kwasababu ya kukwepa maji ya katelero, yanapo walukia kwani huruka hadi usoni, chezea katelero?
 
Wataalamu wa afya hivi kuna uhusiano wowote wa makengeza na mtindio wa ubongo? Naskia watu wengi wenye makengeza hua wana tatizo Hilo

Kwa kiasi nakuunga mkono
Kuna baadhi ya matatizo ambayo yanaambatana na kengeza ..
Ikumbukwe kwamba kengeza inaweza kuwa ni dalili tu kuonesha kwamba kuna tatizo jingine kwa maelezo hayo mtindio wa ubongo wenyewe kama wenyewe hauwezi kusababish mtindio wa ubongo ila kuna kitu kingine
Kuna kitu tunaita SYNDROME inamaanisha tu kwa kifupi ukiona dalili fulani kuna uwezekano wa kuwepo kwa dalili nyingine ambatani hivo uiona kengeza au mtindio wa ubongo tafuta uwezekano ni mkubwa kwamba kuna dalili nyingineyawezekana mtoto ana tatizo kubwa ambalk ndani yake kuna mtundio wa ubongo na kengeza mfano rahisi ni huu lewes syndrome natumai wewe unapenda kusoma utaisoma kuelewa mtoto anazaliwa na mtoto wa jicho mtomdio wa ubongo na matatizo ya figo..kwenye macho anaweza akawa na kengeza kiashiria kwamba uwe mchunguzi zaidi
Kuhitimisha
Wengi walio na kengeza ni kawaida just simple alignment error...hawana ugonjwa wala hawahitaji kumeona dakitari kama haiwapi shida kuona
Waswahili wanasema mtoto kengeza sijui wanamaanisha ni?
 
Subiri waje wakujibu.

Hawawezi kuja kwani nilicho kisema ni sahihi na nijana saa mbili usiku wa kuamkia leo vlikuwa tunajadiri hili nawao waka dhibitisha kuwa ni kweli, niko BK kwa sasa
 
Nini kinachosababisha mtindio wa ubongo<utahaira> kwa watoto? Na mara nyingi sura zao zinakuwa sawa hata akiwa mzungu anafana sura tofauti ni rangi tu,nini chanzo? Dalili zake za awali ni zipi?
 
Iringa watoto wadogo wanachanjwa kwenye macho pembeni ili wasiwe na makengeza....
 
Nini kinachosababisha mtindio wa ubongo<utahaira> kwa watoto? Na mara nyingi sura zao zinakuwa sawa hata akiwa mzungu anafana sura tofauti ni rangi tu,nini chanzo? Dalili zake za awali ni zipi?

Kubana mapaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…