Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Wana Jamii Forums hamjambo.
Ni sababu zipi zinasababisha mtu kuwa na makengeza asilia? (Hapa siongelei makengeza ya ajali za ukubwani).
Nimekuwa nikifuatilia na nimegundua watu wengi wenye makengeza ni wa kabila fulani na nimewashirikisha watu wengine nao pia wamekuwa wakinipigia simu kunijulisha kwamba utafiti wangu unaelekea kuwa wa kweli.
Sasa najiuliza ni kwa nini kabila hilo linakuwa na idadi kubwa ya watu wenye makengeza.