Wana Jamii Forums hamjambo.
Ni sababu zipi zinasababisha mtu kuwa na makengeza asilia? (Hapa siongelei makengeza ya ajali za ukubwani).
Nimekuwa nikifuatilia na nimegundua watu wengi wenye makengeza ni wa kabila fulani na nimewashirikisha watu wengine nao pia wamekuwa wakinipigia simu kunijulisha kwamba utafiti wangu unaelekea kuwa wa kweli.
Sasa najiuliza ni kwa nini kabila hilo linakuwa na idadi kubwa ya watu wenye mak
Mkuu nimekua interested funguka ni kabila gani
Tafiti zinasema unapo kula mbunye mkiwa utupu bila kujifunika huku miale ya jua ikiwachoma mwaweza mzaa mtoto makengeza
Muulize kamanda kova, jeshi haliiitaji walemavu na yy kova bado yupo haahahaha
Unazungumzia makengeza yapi? Ya Mbowe, Kova au Chenge? Yote yana sababu tofauti tofauti!