Makerere University yazuia Pombe, Simu, Vyakula, Camera kwenye Mahafali

Makerere University yazuia Pombe, Simu, Vyakula, Camera kwenye Mahafali

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Makerere-University-02.jpg

Wakati Wanafunzi zaidi ya 13,000 wakitarajia kuanza Sherehe za Siku 5 za Mahafali leo Februari 13, 2023, Uongozi wa Chuo umepiga marufuku wahudhuriaji kuchukua picha za na Mnato na Mjongeo kwenye tukio hilo.

Bila kutaja sababu ya katazo, Chuo kimezuia watu kuingia na Sigara, Vyakula vilivyohifadhiwa kwenye Makopo, na Vinywaji vya Chupa, pia Wahitimu wote hawatoruhusiwa kuingia na wageni zaidi ya wawili.
Tukio gani lilifanyika kwenye Mahafali yako na hauwezi kulisahau?

==============

One of Africa's most prestigious universities has banned those attending its graduation ceremony from carrying phones, cameras and video cameras, according to a statement.

Uganda's Makerere University will from Monday hold a five-day graduation ceremony at its Freedom Square.

A total of 13,221 students are scheduled to graduate, with each allowed to invite only two guests.

No reason was given for the banning of cameras at the graduation square, but other items prohibited from the ceremony include alcohol, cigarettes, canned foods and bottled drinks.

“A detailed list of prohibited items has been inserted in the graduation invitation package that is presented to the graduands and invited guests,” the head of ceremonies committee, Prof Patrick Mangeni, said.

First Lady Janet Museveni, who is also the minister of basic education, is expected to grace the ceremony on Monday.

BBC
 
13,023 duh idadi kubwa sana, iendane na ukuaji wa ajira wa uganda hiyo ni kama timing bomb.
 
Naonaga kusoma Sana tunakukuza kuliko uhalisia wenyewe
 
Back
Top Bottom