Makerere ya Uganda yawakilisha EAC kwenye ubora wa vyuo vikuu

Makerere ya Uganda yawakilisha EAC kwenye ubora wa vyuo vikuu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Makerere ya Uganda imeingia ndani ya kumi bora Afrika kwenye orodha ya vyuo bora. Hongera zao jameni.
Chuo chetu cha Nairobi kimeshika namba 26 ambayo sio nzuri kweli, ila Bongo....dah, chuo chao cha UDSM kimetulia kwenye namba 48 na kuridhika, wapo wapo tu.

URAP - University Ranking by Academic Performance
 
Ha ha ha majirani zetu mna vituko....hapo UDSM ingekuwa kwenye top ten mngesema ipo Kenya.
 
wakati watanzania bado wanasubiri tu kuibua matusi na wakenya.....uganda and Rwanda are working
 
Sisi TZ kwa number/quantity tumewapita wote, labda ilivyoondolewa Division 5 ndio tutapata wa kutujaribu!
 
Evidence gani wewe mjinga
Best universities in Africa 2016: top 15
Rank Institution Country
1 University of Cape Town South Africa
2 University of the Witwatersrand South Africa
3 Stellenbosch University South Africa
4 Makerere University Uganda
5 University of KwaZulu-Natal South Africa
6 University of Pretoria South Africa
7 University of Ghana Ghana
8 University of Nairobi Kenya
9 Suez Canal University Egypt
10 Alexandria University Egypt
11 Cairo University Egypt
12 University of Marrakech Cadi Ayyad Morocco
13 University of South Africa South Africa
14 University of Ibadan Nigeria
15 Mohammed V University of Rabat Morocco
 
Sisi TZ kwa number/quantity tumewapita wote, labda ilivyoondolewa Division 5 ndio tutapata wa kutujaribu!
angalia apa mpumbavu
Best universities in Africa 2016: top 15
Rank Institution Country
1 University of Cape Town South Africa
2 University of the Witwatersrand South Africa
3 Stellenbosch University South Africa
4 Makerere University Uganda
5 University of KwaZulu-Natal South Africa
6 University of Pretoria South Africa
7 University of Ghana Ghana
8 University of Nairobi Kenya
9 Suez Canal University Egypt
10 Alexandria University Egypt
11 Cairo University Egypt
12 University of Marrakech Cadi Ayyad Morocco
13 University of South Africa South Africa
14 University of Ibadan Nigeria
15 Mohammed V University of Rabat Morocco
 
Mngekuwa hata top 20 sijui ingekuwaje...kujisifu tu
mbona kanyamaza sasa mpumbavu wewe...rudi shuleni nenda kasome...u will understand that statements wthout sources is just as useless as dangaykans..😛😛😛😀😀😀
 
Makerere ya Uganda imeingia ndani ya kumi bora Afrika kwenye orodha ya vyuo bora. Hongera zao jameni.
Chuo chetu cha Nairobi kimeshika namba 26 ambayo sio nzuri kweli, ila Bongo....dah, chuo chao cha UDSM kimetulia kwenye namba 48 na kuridhika, wapo wapo tu.

URAP - University Ranking by Academic Performance
nashuku hizi rankings...in april UON was number 7 sai 26?
 
nashuku hizi rankings...in april UON was number 7 sai 26?
Unashuku nn, hiyo source yako outdated ndio unatamba nayo, from 7 to 26, next time 58....ha ha ha sibishani na wajinga, ulale unono.
 
Back
Top Bottom