Makete: Mwenyekiti wa Kitongoji akamata mwizi na kuwataka Wananchi waamue wamfanye nini lakini sio kumuua

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Joseph Mbilinyi Mwenyekiti wa kitongoji cha Dombwela wilayani Makete mkoani Njombe baada ya wizki kukithiri na kufanikiwa kumkamata mmoja ya watuhumiwa amemfikisha mkutanoni na kuwataka Wananchi "Nyie ndio muamue tumfanye nini huyu mtuhumiwa lakini sio kumuua"

Huyu kiongozi anaitafuta sheria, elimisheni wazee wenu waepuke kamera na vinasa sauti!, ndio wizi nj mmbaya lkn mwizi akishikwa kuna taratibu zake akiwa kama kiongozi aliapa kuzifuata!.
 
Exactly, vyombo vinavyodeal na wahalifu vipo sasa sijui kwanini alihatarisha maisha ya mtuhumiwa kiasi hiki
 
Huyu kiongozi anaitafuta sheria, elimisheni wazee wenu waepuke kamera na vinasa sauti!, ndio wizi nj mmbaya lkn mwizi akishikwa kuna taratibu zake akiwa kama kiongozi aliapa kuzifuata!.
Hata mamlaka nadhani na zenyewe zinawachoka hao wezi...
 
Back
Top Bottom