Mi sikubali.
Hili jambo lilikuwa linajadiliwa last week kabla Palamagamba hajaondolewa Wizara ya Sheria.
Kuna Mwalimu amehukumiwa jela miaka 30,MIAKA THELATHINI kwa "kumbaka"' mwanafunzi( wa kike)
Na watu walikuwa wana discuss pale,( kisheria) hakuna kosa la kufanya zinaa na mwanafunzi,kosa ni kumtia mimba au somehow kumdhuru.
Halafu,there is one problem.
Wanawake wanabakwa.
Huyu mfamasia amekufa juzi alikuwa amebakwa. Haya mambo yanatokea watu wanaona uvivu hata kusema.
Eti wanataka kuwasetiri waliotendewa ubaya.
Uongo mtupu. Wanataka kuficha sera zao mbovu.
Unawakaripia watu when they have committed no crime, halafu unasababisha haya matatizo.
Yule Katibu wa CCM Kilolo alibakwa.
You gotta ask yourself,what is causing all this?
Sheria Uingereza inamruhusu Mwalimu kufanya mapenzi na mwanafunzi.
At least unapowahukumu hawa watu ungesema hii Sheria ni yetu wenyewe, wengine hawana.