Makete: Mzee wa miaka 62 ambaka mwanafunzi wa kidato cha pili

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na kundoka, nikaondoka kwa hasira na kwenda kukaa kwenye kitanda, nlisahau kufunga mlango, alivyoingia aliniuliza kwahiyo umekataa?"
Your browser is not able to display this video.
 
Disconnect...........
Disconnect........
..... .... ....... ...... ............... ...... ........ .....
 
Mi sikubali.
Hili jambo lilikuwa linajadiliwa last week kabla Palamagamba hajaondolewa Wizara ya Sheria.
Kuna Mwalimu amehukumiwa jela miaka 30,MIAKA THELATHINI kwa "kumbaka"' mwanafunzi( wa kike)
Na watu walikuwa wana discuss pale,( kisheria) hakuna kosa la kufanya zinaa na mwanafunzi,kosa ni kumtia mimba au somehow kumdhuru.
Halafu,there is one problem.
Wanawake wanabakwa.
Huyu mfamasia amekufa juzi alikuwa amebakwa. Haya mambo yanatokea watu wanaona uvivu hata kusema.
Eti wanataka kuwasetiri waliotendewa ubaya.
Uongo mtupu. Wanataka kuficha sera zao mbovu.
Unawakaripia watu when they have committed no crime, halafu unasababisha haya matatizo.
Yule Katibu wa CCM Kilolo alibakwa.
You gotta ask yourself,what is causing all this?
Sheria Uingereza inamruhusu Mwalimu kufanya mapenzi na mwanafunzi.
At least unapowahukumu hawa watu ungesema hii Sheria ni yetu wenyewe, wengine hawana.
 
Binti wa 4m 2 anabakwa how? Sielewiii.
 
Waufukweni hatupumui kabisa, ni mwendo wa matukio tu kila siku
 
Njombe imekuwa na matukio sana miaka hii kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…