Wakuu Tittle inajieleza, kama upo Dodoma na una uhitaji wa Makeup Artist, kwenye ofisi yako, Personal(MUA) au kwenye Academy yako. Ndugu yangu yuko hapa. Shes passionate na kazi yake na uzoefu wa kutosha. Kwa walioserious niPM