S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,719 Jun 8, 2019 #1 Baada ya serikali kufanikiwa kwa asilimia kubwa kukataza mifuko ya plastic naomba sasa ikataze mawig na makeup Najua serikali ya awamu ya tano ni sikivu hvo naamini italifanyia kazi suala hili Ebu wanaume njooni hku kwanza tusemezane
Baada ya serikali kufanikiwa kwa asilimia kubwa kukataza mifuko ya plastic naomba sasa ikataze mawig na makeup Najua serikali ya awamu ya tano ni sikivu hvo naamini italifanyia kazi suala hili Ebu wanaume njooni hku kwanza tusemezane