Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Sisikilizi wala kufungua
Khiyari ni yako.Sisikilizi wala kufungua
Safi babu kama umeookea tuzo kongole kwakoKhiyari ni yako.
Wewe ni mmoja tu.
Maelfu wananisikiliza.
Nimepokea tuzo nne Kutokana na historia hii.
Mialiko mingi.
Mahojiano na vyombo vyote vikubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania: BBC, VoA, DW, SABC, Radio Tehran, TBC, ITV, AZAM, Online TVs...
Sasa wewe ukikosekana unadhani mimi nitapoteza kitu gani?
Bado unaamini mimi mpumbavu?
Unadhani kati yako wewe na vyombo hivi nani zuzu?
Wao au wewe?
View: https://youtu.be/p_hkrMJm_aY
Siasa(uhuru) na michezo(Simba,yanga) nchi hii waanzilishi ni waislam, wakristo haikua jamii kihivyo na mijini palijaa waislam, huwezi tenganisha waislam na pilika za maisha mijini ndani ya Tanganyika 1930-60s, ukristo umeenea katikati tu hapo kupitia huduma za jamiiWewe ni mdini na mpumbavu hivyo nakuupuza 🚮
Siasa(uhuru) na michezo(Simba,yanga) nchi hii waanzilishi ni waislam, wakristo haikua jamii kihivyo na mijini palijaa waislam, huwezi tenganisha waislam na pilika za maisha mijini ndani ya Tanganyika 1930-60s, ukristo umeenea katikati tu hapo kupitia huduma za jamii
Akili huna weweacha uongo, simba na yanga zilianzishwa na Christians, simba kwanza ilikuwa inaitwa sunderland, sasa sunderland ni arabic? yanga jina lake young africans na zote zilianzishwa na Christians.
kabla ya Christians kuja sehemu ya pwani kulikuwa na sultani wenu (alimiliki mpaka 12 000 square km tu ambao aliiuza hata hivyo) na sultani wenu hakujenga uwanja hata mmoja wa michezo wala hakukuwa na sports ya aina yoyote ile, sasa iweje useme michezo imeanzishwa na muslims? kwanza kabla Christians kuja hakukuwa na political parties au demokrasia ya aina yoyote ile, ancestors wako walikuwa watumwa na hawakuwa na haki yoyote ile popote pale chini ya muslims, mambo ya haki na demokrasia yalianza baada ya Christians kuja.
hata zanzibar kwenyewe zff (zanzibar football federation) ilianzishwa mwaka 1926 na Christians na siyo muslims, kabla ya Christians kufika zanzibar hakukuwa na football au sports ya aina yoyote ile kulikuwa na utumwa tu, hata huyu islamist wanna be mleta mada ni mzao wa utumwa asili yake ni kigoma, ancestors wake waliletwa pwani na caravan ya utumwa, kwanza wengi wanaoishi pwani leo hii wachache sana ni natives wa pwani wengi walitokea kongo (drc ya leo) na kigoma ...
Hivi AA baadae TAA vilikuwa vyama vya siasa kabla ya kuitwa TANU?..Ili mimi kujipunguzia maswali kutoka kwa wale ambao hawajui chanzo cha vuguvugu la siasa na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika angalieni video hiyo hapo chini:
View: https://youtu.be/ElFokO-Y_MA?si=eQQrAaMHMv62mbCM
Proved,
Kwa hiyo AA na TAA havikuwa vyama kamili vya Siasa?..Proved,
Waingereza waliisajili AA kama association yaani shughuli za kujamii.
1959 TAA ikaunda TAA Political Subcommittee wajumbe wakiwa Dr. Vedasto Kyaruzi (President), Kleist Sykes (Secretary), Hamza Mwapachu, Steven Mhando, Said Chaurembo na John Rupia.
Hapana havikusajiliwa kama vyama vya siasa ndiyo maana uongozi wa Dr. Kyaruzi na Abdul Sykes ukaunda TAA Political Subcommittee mwaka wa 1950 ili sasa wafanye siasa.Kwa hiyo AA na TAA havikuwa vyama kamili vya Siasa?..
AA na TAA zilikuwa movements tu za watu weusi. AA ilikuwa influenced na mzawa wa Ghana ambaye alikuwa msomi na mwenye exposure, ndiye aliyeshauri Watanganyika waanzishe movement yao. Watumishi wa serikali ya kikoloni ndio walichukua hiyo hatua.
Mkuu, utatumia nguvu kubwa sana kuwatoa gizani hawa watumwa.acha uongo, simba na yanga zilianzishwa na Christians, simba kwanza ilikuwa inaitwa sunderland, sasa sunderland ni arabic? yanga jina lake young africans na zote zilianzishwa na Christians.
kabla ya Christians kuja sehemu ya pwani kulikuwa na sultani wenu (alimiliki mpaka 12 000 square km tu ambao aliiuza hata hivyo) na sultani wenu hakujenga uwanja hata mmoja wa michezo wala hakukuwa na sports ya aina yoyote ile, sasa iweje useme michezo imeanzishwa na muslims? kwanza kabla Christians kuja hakukuwa na political parties au demokrasia ya aina yoyote ile, ancestors wako walikuwa watumwa na hawakuwa na haki yoyote ile popote pale chini ya muslims, mambo ya haki na demokrasia yalianza baada ya Christians kuja.
hata zanzibar kwenyewe zff (zanzibar football federation) ilianzishwa mwaka 1926 na Christians na siyo muslims, kabla ya Christians kufika zanzibar hakukuwa na football au sports ya aina yoyote ile kulikuwa na utumwa tu, hata huyu islamist wanna be mleta mada ni mzao wa utumwa asili yake ni kigoma, ancestors wake waliletwa pwani na caravan ya utumwa, kwanza wengi wanaoishi pwani leo hii wachache sana ni natives wa pwani wengi walitokea kongo (drc ya leo) na kigoma ...
T14...AA na TAA zilikuwa movements tu za watu weusi. AA ilikuwa influenced na mzawa wa Ghana ambaye alikuwa msomi na mwenye exposure, ndiye aliyeshauri Watanganyika waanzishe movement yao. Watumishi wa serikali ya kikoloni ndio walichukua hiyo hatua.
Watumishi wa umma wasingekuwa wanasiasa kipindi kile. Ndio maana Mwalimu Nyerere aliachana na kufundisha kuelekea kwenye vuguvugu la kisiasa kabisa.