Makinda Simba Sc wapaa kwenda Pre Season Misri

Vyura bhana πŸ˜‚
Mujipange ligi ya msimu ujao sio lele mama, hao makinda wenu munao wasifu, bila kuwaona wakicheza popote, musije mukawakataa.

Na msimu uja wanayanga tumejipanga kumtetea Mangungu kwa gharama yoyote.

Haiwezakani, timu inasajili, sifa zinaenda kwa Moh, ikivurunda jumba bovu mumuangushie Mangungu, hicho kitu msimu huu tatakipinga kwa vitendo.
 
Wachezaji bora wa ligi kuu za huko walikotoka unawaita makinda?!

#chaArusha
 
Timu NSSF mpoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…