Makinda: Wenzetu walioendelea kila mtu anajisensa mwenyewe kwa simu yake, ila SISI bado hivyo tuwasubiri makarani

Makinda: Wenzetu walioendelea kila mtu anajisensa mwenyewe kwa simu yake, ila SISI bado hivyo tuwasubiri makarani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kamisaa wa sensa mama Makinda amesema Kaya zote zitapitiwa na makarani wa sensa cha muhimu ni uvumilivu tu

Makinda amewasihi sana wananchi kuacha taarifa nyumbani kama watakuwa hawapo

Chanzo: Millard Ayo
 
Huu mfumo tunao tumia ni wa Kizamani Sana.

Kuna watu itawachukua Siku 10 - 20 kumaliza Eneo walilopewa.

Sensa ijayo yafanyike maboresho ili zoezi likamilike kwa siku chache.
 
Huyu huku amekataa
 
Back
Top Bottom