J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 24, 2022 #1 Kamisaa wa sensa mama Makinda amesema Kaya zote zitapitiwa na makarani wa sensa cha muhimu ni uvumilivu tu Makinda amewasihi sana wananchi kuacha taarifa nyumbani kama watakuwa hawapo Chanzo: Millard Ayo
Kamisaa wa sensa mama Makinda amesema Kaya zote zitapitiwa na makarani wa sensa cha muhimu ni uvumilivu tu Makinda amewasihi sana wananchi kuacha taarifa nyumbani kama watakuwa hawapo Chanzo: Millard Ayo
Milonji Senior Member Joined May 26, 2022 Posts 166 Reaction score 510 Aug 24, 2022 #2 Huu mfumo tunao tumia ni wa Kizamani Sana. Kuna watu itawachukua Siku 10 - 20 kumaliza Eneo walilopewa. Sensa ijayo yafanyike maboresho ili zoezi likamilike kwa siku chache.
Huu mfumo tunao tumia ni wa Kizamani Sana. Kuna watu itawachukua Siku 10 - 20 kumaliza Eneo walilopewa. Sensa ijayo yafanyike maboresho ili zoezi likamilike kwa siku chache.
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Aug 24, 2022 #3 Huyu huku amekataa Your browser is not able to display this video.