Making Him/Her ..a husband/Wife and a Friend

muda wa kuwa rafiki ni kipindi kile mnafukuziana.....mfanye awe rafiki then awe mwenza.....
 

Aksante sana sun wu

Kweli hapa nimejifunza kitu kikubwa sana ndugu yangu ubarikiwe.

Ni kweli kuwa mara nyingi watu wengi tunayo tendancy ya kuwa marafiki pindi tunapokuwa wapenzi but tunapopata title ya Mr/Mrs hugeuka na either kunywea (na kumtreat mwenza kama mume/mke na kuanza kumtwisha majukumu tena kwa expectations kibao na kuisahau ile dhana ya rafiki, rafiki ambaye unajisikia raha kumsaidia, kukaa naye muda wote n.k
 

Mrembo By Nature, aksante sana. Kusema ukweli umeandika kitu ambacho inatakiwa kiwe for real hata hivyo bahati mbaya wengi wetu tumekuwa na kujisahau sana na ndio maana tunasikia kauli za ...umebadilika sana baada ya kukuoa/kunioa, hunijali tena, hunithamini e.tc e.t.c ..........nadhani kuna ile ya kisichoko machoni, kina thamani zaidi.

Nafikiri zile vows, wedding bonds zinatufanya tuishi ile ya .......ni jukumu lako pia kuhakikisha hunipotezi. So ule uwoga wa nitampoteza, nawezampoteza unakuwa haupo.......no?
 
Urafiki unaweza kuwa developed wakati wowote katika safari ya kuhusiana. Hujaona unaweza kuanza kazi mpya with the wrong foot na mtu fidenge, baada ya muda mkaelewana na kusindikizana lunch? Unaweza kuamua hata ndoa ya 20 yrs, ku-relax na kuenjoy ride.
muda wa kuwa rafiki ni kipindi kile mnafukuziana.....mfanye awe rafiki then awe mwenza.....
 

Bishanga, yaani MwanajamiiOne wa zamani ndo alikuwa anaamini hizi na mpaka sasa anaamini hivi lakini evidence zimeonyesha kuwa haiko hivi. Hata hivyo ninaamini kuna tofauti kati ya kuwa kichwa cha nyumba na kuwa kichwa rafiki cha nyumba au?
 

Kujitahidi kumretain mtu inategemeana na nini anacho interms of behaviour ambacho kinakufanya uone sio wa kumpoteza, kama hamna hali hiyo then ujue kazi ipo........jiulize what is so peculiar kwa partner wako? kama jibu ni hamna ujue itafika mahali uhusiano wenu uatshake coz hamna cha kukufanya uone umuhimu wa kumkeep, kama sababu ni kiapo cha ndoa thats why unakuta ndoa nyingi ndani kwao kunawaka moto coz wanalinda kiapo na si urafiki na inner touch kila mmoja aliyonayo kwa mwenzake
 
Hakuna kitu kizuri duniani kama rafiki wanandoa wengi wanaishi kama mtumwa na mfalme mmoja anatoa order mwingine anafat
 
Kuna siku mie niliuliza kama mapenzi na urafiki yana mahusiano.
Niliona nashindwa kujua kipi ni kipi kati ya hivi vitu.

Lakini kwa mtazamo wangu urafiki hauombwi na wala hakuna muda utamwambia mtu tuwe marafiki
Ni kitu kinakuja automatik sababu ya nyie kuwa na rangi/mbawa zinazowiana katika nyanja fulani

Si kila mara mpenzi anaweza kuwa rafiki maana urafiki huja tu, haupangwi sana kama mapenzi ambayo Bishanga kila siku ananiomba tena kwa barua via Asprin.

Kama ukiwa na mpenzi ambaye mnafanana kwa vitu fulani mnajikuta mnakuwa marafiki.

Ndio maana unaweza kuta mtu ana mpenzi wake lakini kuna vitu hawezi ongea naye anatafuta mtu wa prmbeni wa kumweleza iwe ushauri au tatizo au umbea wa kawaida, hapo kuwa mahusiano ya kimapenzi tu bila urafiki.

Na unakuwa wapenzi wanaelezana vitu vingi freely bila wasi wasi(Ila sio mipango ya kando), hapa kunakuwa na mapenzi na urafiki pia. Na kwa kuongeza hata kama mmoja anamwamkia mwenzie, kumvua viatu, kumletea maji ya kunywa, bado urafiki waweza kuwepo na mkafurahia mapenzi yenu kama njiwa wawili.

Ntarudi kesho leo nimechoka sana.
 
Last edited by a moderator:

Its easy to tell that KING'ASTI is a woman on another league of wisdom

Salute, salute, salute......................
 
Hahahaha MwanajamiiOne, Kongosho, King'asti, Lizzy, Smile, Kipipi, Kaunga na wajukuu zangu wote bila kumsahau mzee mwenzangu Bishanga..... Babu yangu Mtuweta (RIP) aliwahi nambiaga hakuna kitu kizuri na kitamu kama kuoana na rafiki yako. Na ili ujue na ujihakikishie kuwa uliyemuoa ni rafiki yako ni pale unapothubutu kuachia kaushuzi mbele yake bila woga.... Hata kama kaushuzi kenyewe kanaambatana ile harufu ya matokeo ya kufakamia mayai ya kuchemsha na maharage.......

Samahani kama nimewakwaza lakini habari ndio hiyo.

Mungu aendelee kumlaza genius Mtuweta mahali pema peponi. Amen
 
Asprin bana!
 
Konnie,naomba tuwe marafiki pliiiz.
 
Last edited by a moderator:
Ile yangu na naniiii!!

Asprin . . .hehehehe kwa wanaoweza nakubali, ila wengine wataona kama wenzi wao wamepitiliza.

Afu Lizzy, urafiki ulopitiliza si ndo mzuri eh?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…